This website collects cookies to deliver better user experience

SERA YA KIDAKUZI

 

Tafadhali soma yafuatayo kwa makini ili kuelewa sera na desturi zetu kuhusu maelezo yako ya kibnafsi na jinsi tutakavyoshughulikia. Kwa kutumia au kufikia tovuti yetu, unakubali sera hii ya faragha. Sera hii inaweza kubadilika mara kwa mara na kuendelea kutumia tovuti yetu kunachukuliwa kuwa kukubalika kwa mabadiliko hayo, kwa hiyo tafadhali angalia sera mara kwa mara kwa masasisho.

 

  1. KUHUSU KIDAKUZI

Kidakuzi ni faili dogo la maandishi iliyo na nambari ya kipekee ya utambulisho ambayo huwekwa kwenye diski kuu ya kompyuta yako na seva ya ukurasa wa wavuti, inawezesha seva ya wavuti kutambua kivinjari chako cha wavuti na kufuatilia shughuli zake kwenye tovuti hiyo. Kidakuzi hakionyeshi taharifa  zozote zinazoweza kumtambulisha  mtu ambazo hazijafichuliwa. Kidakuzi hakina msimbo wowote wa kusisimua  na haiwezi kutumika kwa kuambukiza  kompyuta yako na virusi. Vivinjari vingi vya wavuti hukubali kidakuzi kiotomatiki lakini kwa kawaida hutoa chaguo la kusanidi kivinjari chako kukubali au kukataa vidakuzi vyote, au kukuarifu wakati kidakuzi kinatumwa. Unaweza kubadilisha mipangilio yako katika menyu ya mapendeleo au chaguo la kivinjarichako. Ukichagua kukataa vidakuzi, kipengele Fulani cha tovuti yetu kinaweza kisipatikane kwako.

 

2. NAMNA MOREPLEX INC HUTUMIA VIDAKUZI?

2.1 Kulingana na mazoezi ya kawaida ya tasnia, tunatumia vidakuzi kushughulikia matumizi ya tovuti. Tunatumia vidakuzi ambavyo ni muhimu sana kukuwezesha/kuruhusu kuzunguka tovuti yetu . Moreplex Inc pia hutumia vidakuzi kuboresha matumizi yako ili usihitaji kuendelea kuviingiza tena unapovinjari tovuti yetu.

 

2.2 Sababu mojawapo ya tovuti hii kutumia kidakuzi ni kuhakikisha kuwa  watu hawahesabiwi mara mbili. Vidakuzi hivi vya uchanganuzi haviifadhi maelezo yoyote ya kibinafsi kama vile jina au anwani yako ya barua pepe. Vipo tu ili kutusaidia kujua ni nini maarufu miongoni mwa wanaotembelea tovuti.

 

  1. KIDAKUZI AMBACHO MOREPLEX HUTUMIA

3.1 Moreplex Inc hutumia huduma chache ili kutusaidia kuelewa jinsi watu wanavyotumia tovuti yetu na tatizo wanalowezakukutana nalo wanapoitumia. 

 

3.1.1. Uchanganuzi wa Google:

Tunatumia uchanganuzi wa Google (ambao unatumia kidakuzi) ili kutusaidia kuelewa hatua ambazo watu huchukua wanapotumia kufikia tovuti. Data yote tunayoifuatilia katika uchanganuzi wa Google haijulikani na hakuna maelezo ya kibinafsi yaliyomo. Ili kujiondoa katika uchanganuzi wa Google, unaweza kutumia kifaa cha kuondoa hilo kutoka Google. Google ina taarifa Zaidi kuhusu vidakuzi wanavyotumia na namna ya kujua nini kinachofwatiliwa.

 
3.2 Moreplex Inc inatumia vidakuzi kwa sababu zifuatazo:

(a) Kuthibitisha – tunatumia vidakuzi kutambua lini umetembelea tovuti yetu kwa namna unavyovinjari tovuti;

(b) Hadhi – tunatumia vidakuzi kutusaidia kutambua kama umeingia katika tovuti yetu;

(c) Kujua mapendekezo yako – tunatumia vidakuzi kuhifadhi taarifa kuhusu mapendekezo na kukuwekea hayo kwenye tovuti yetu;

(d) Usalama – Tunatumia vidakuzi kama sehemu ya usalama kukinga watumiaji wetu.

 

  1. NAMNA YA KUFUTA VIDAKUZI

Unaweza kuzuia au kutawala vidakuzi vyako, kufuta au kukataa katika mipangilio ya kivinjari chako unachotumia.

 

5.MAKUBALIANO

Uwezo wako wa kutumia Moreplex Inc imewekwa katika makubaliano yako ya kutumia vidakuzi vyako. Masharti haya yanatumika kwa wageni wote, watumiaji, na wengine wote wenye uwezo kutumia tovuti yetu. Kwa kutumia tovuti na kukubaliana na sera hii, kwa idhini yako ya sisi kutumia vidakuzi  kwa kuzingatia na masharti yaliotolewa hapa.

 

0:00/ 0:00
Slow Fast
  • 0.5
  • 0.6
  • 0.7
  • 0.8
  • 0.9
  • 1
  • 1.1
  • 1.2
  • 1.3
  • 1.4
  • 1.5