This website collects cookies to deliver better user experience

VIGEZO NA MASHARTI

 

  1. MUHTASARI

1.1 Tovuti hii inaendeshwa na kampuni ya Moreplex. Kwa ujumla katika tovuti, maneno kama “sisi”, “yetu” yanamaanisha Moreplex Inc. Kampuni ya Moreplex imeweka tovuti hii, ikijumuisha taarifa zote, vifaa na huduma zote zipatikanazo katika tovuti hii kuja kwako mtumiaji, anapewa masharti kulingana na yeye kukubali masharti yote, sera na taarifa zitolewazo hapa.

1.2 Kwa kutembelea tovuti yetu/ au kununua kitu kwetu, umejihusisha na shughuli zetu “Huduma” na umekubali kufungwa na vigezo na masharti yafuatayo (“Vigezo na masharti”, “Vigezo”), ikijumuisha vile vigezo na masharti na sera za nyongeza zikirejewa hapa na/ au kuwepo kwa kiungo. Vigezo na masharti haya vimewekwa kila mtumiaji wa tovuti.

1.3 Tafadhali soma vigezo na mashari kwa makini kabla ya kuanza kutumia tovuti yetu. Kwa kutumia au kufanya chochote katika tovuti yetu, umekubali kufugwa na vigezo na masharti haya.

  1. MASHARTI YA DUKA LA MTANDAONI.

2.1 Kwa kukubaliana na vigezo na masharti haya, unakubali kwamba una angalau umri wa wengi katika eneo lako au umekwisha kutupa taarifa ya wewe kuruhusu wanaokutegemea kutumia tovuti hii.


2.2 Hutatakiwa kutumia bidhaa zetu katika namna yeyote iliyo kinyume na sharia au kwa namna yeyote isiyoruhusiwa wala hutatumia, huduma yetu, kuvunja sheria zozote katika mamlaka yako (ikijumuisha bila kizuizi cha moja kwa moja sharia za hakimiliki).

2.3 Hutakiwi kusambaza minyoo au virusi au kodi zenye asili yeyote ya uharibifu.

 

2.4 Kuvunja au kutokufuata masharti yeyote kutapelekea kuzuiwa kwa huduma haraka.

  1. VIGEZO KWA UJUMLA

3.1 Kampuni ya Moreplex inahaki ya kukataza huduma kwa yeyote kwa sababu yeyote muda wowote.


3.2 Unafahamu kwamba taarifa zako (haijumuishi taarifa za kadi yako ya malipo), zitatumwa bila kufichwa ikijumuisha (a) kutumwa katika mitandao kadhaa; na pia (b) mabadiliko ya kuhakikisha mahitaji ya kiufundi ya kuunganisha kwenye mtandao au vifaa tofauti. Taarifa za kadi yako ya malipo mara zote hufungwa wakati wa kutuma taarifa zako katika mitandao.

3.3 Unakubaliana na kutotengeneza upya, kutonakili, kutotoa nakala, kutouza, kujipatia pesa au kunyonya sehemu yeyote ya huduma, matumizi ya huduma, au uwezo wa kupata huduma, au mawasiliano yeyote katika tovuti ambapo kupitia hapo huduma hutolewa, bila ruhusa ya maandishi kutoka kwetu. 

  1. USAHIHI, UKAMILIFU NA MUDA WA TAARIFA.

4.1 Kampuni ya Moreplex haitakua na hatia kama taarifa zitakazowekwa katika tovuti hii si sahihi, kamili au zilizokatika wakati. Vinavyowekwa hapa ni kwajili ya taarifa kwa ujumla pekee na haitakiwi kuzifanya sababu ya kufanya maamuzi bila kuwasiliana na wahusika, wa vyanzo vya taarifa za usahihi zaidi, ukamilifu, au taarifa za wakati. Kutegemea taarifa zilizopo katika tovuti hii pekee ni hatari yako mwenyewe.

4.2 Tovuti hii inaweza kua na baadhi ya taarifa za kihistoria. Taarifa za kihistoria, kiuhalisia, si za sasa na zinatolewa kwa ajili ya kumbukumbu yako pekee. Tunabaki na haki ya kubadili maudhui ya tovuti hii muda wowote, ila hatuna ahadi ya kusasisha taarifa kwenye tovuti yetu. Unapokubali hilo ni jukumu lako kufuatilia mabadiliko yeyote kwenye tovuti yetu.

  1. MAREKEBISHO KWENYE HUDUMA NA BEI.

5.1 Bei ya bidhaa/ au huduma ni vitu vinavyobadilika bila taarifa.


5.2 Kampuni ya Moreplex Inc inahaki ya kubadili au kuendelea kutoa huduma tena muda wowote (Au aina au mauthui yeyote hapo) bila taarifa muda wowote.


5.3 Kampuni ya Moreplex Inc haitahitaji kukujulisha wewe au mwingine yeyote pale itakapo fanya mabadiliko ya vitu, bei, kukatisha matumizi ya mtumiaji au kukatisha huduma.

 

  1. BIDHAA AU HUDUMA (kama itatumika)

6.1 Baadhi ya bidhaa au huduma zinaweza kuwepo kipekee mtandaoni kupitia tovuti yeti. Bithaa hizi au huduma zinaweza kua na ujazo wenye kikomo na na zaweza kurudishwa pesa ya manunuzi yake kulingana na muongozo wa sera yetu ya marejesho ya gharama za manunuzi ya birhaa.


6.2 Tuna bakina haki zote, ila hatuna wajibu, wakuzuia mauzo ya huduma au bidhaa zetu kwa mtu yeyote, upande wowote wa kijiographia au mamlaka. Tunaweza kutumia haki hii kwa wakati Fulani peke yake kulingana na tukio. Tunabaki na haki ya kupanga kiasi cha bidhaa au huduma tunazozitoa.


6.3 Kampuni Moreplex Inc haitoi udhamini wa ubora bidhaa yeyote, huduma, taarifa au vitu vingine vyovyote vinavyouzwa au kuchukuliwa na wewe kufikia matarajio yako au makossa yeyote katika huduma yatasahihishwa.

 

  1. USAHIHI WA KUWEKA BILI NA TAARIFA ZA AKAUNTI.

7.1 Kampuni Moreplex Inc ina haki ya kukataa oda au/ au usajili kwa ajili ya kupata huduma zetu. Unakubali kutoa taarifa zilizondani ya wakati, kamilifu na usahihi wa malipo, taarifa za akaunti kwa manunuzi yote na usajili utakao fanyika. Unakubali kusasisha akaunti yako na taarifa zingine, ikijumuisha barua pepe yako na namba za kadi yako ya malipo na tarehe ya mwisho ya matumizi, ili basi tukamilishe malipo yako na kuwasiliana na wewe panapohitajika.

7.2 Kwa taarifa Zaidi tafadhali tembelea sera yetu ya marejesho ya gharama.

  1. VIFAA VYA HIARI

8.1 Kampuni ya Moreplex Inc inaweza kukupa ruhusa ya kutumia vifaa vingine ambavyo tunaweza kua hatuviongozi wala kua na uthibiti wala kuongeza chochote.

8.2 Unatambua na kukubali kwamba tunatoa ruhusa kwa vifaa “kama ilivyo” na “kama vilivyopo” bila kua na dhamana yeyote ya muda wa matumizi, uwakilishi au vigezo vya kila aina au bila juidhinishwa. Hatutakua na dhima yeyote kutokea kwa au matumizi yako ya vifaa kutokea sehemu nyingine.

8.3 Matumizi yeyote ya vifaa vya hiari vinavyotolewa na tovuti yetu itakua ni mamuzi yatakayo kua juu yako na maamuzi na unatakiwa kua na uwakika kwamba unafahamu na unajua kuhusu vigezo vya vifaa inavyotolewa na watoa huduma husika kutoka upande mwingine.

  1. VIUNGANISHI VINGINE

9.1 Maudhui Fulani, bidhaa, na huduma zinazopatikana kupitia huduma yetu inajumuisha vitu kutoka upande mwingine.

9.2 Viunganishi vingine katika tovuti hii vinaweza kukupeleka kwa tovuti za mhusika wa tatu asiehusiana nasi. Si majukumu yetu kuchunguza au kutathimini maudhui au usahihi na hatutoi uwakika wowote wa muda na wala kua na dhima wa wajibu kwa vitu na tovuti kutoka mhusika wa tatu yeyote au vitu vyovyote, bidhaa, huduma zake. Hatuta husika kwa uharibifu wowote utakao tokana na manunuzi ya bidhaa, huduma, rasilimali, maudhui, au malipo yeyote yatakayofanywa kupitia tovuti za mhusika watatu.

 

 

  1. TAARIFA BINAFSI

Unapotuma taarifa zako binafsi kupitia duka letu mtandaoni zinalindwa na sera yetu ya faragha. Kuona sera yetu ya faragha.

 

  1. MAKOSA, YASIO SAHIHI, KUTOKUWEPO.

Mara kwa mara kunaweza kua na taarifa katika tovuti yetu aukwenye huduma ambazo kwa namna moja au nyingine zaweza kua na makosa kijographia, kukosa usahihi, au kutokuwepo na zikawa na uhusiano na maelezo ya bidhaa, bei, promosheni, ofa, gharama za kusafirisha bidhaa, muda wa kusafirisha na uwepo wake. Tuna baki na haki ya kusahihisha makossa yeyote, ukosefu wa usahihi, au uwepo, na kubadili au kuamilisha taarifa au kusitisha oda kama taarifa zozote katika huduma au tovuti yeyote inayohusiana kama hakuna usahihi kwa muda wowote ule bila taarifa (ikijumuisha baada yay a kukabithi oda yako). Hatuta chukua wajibu wowote kuamilisha, kutengeneza, kufafanua taarifa katika huduma au tovuti nyingine yeyote inayohusiana, ikijumuhisha bila vizuizi, taarifa za bei, isipokua kama inavyotakiwa na sharia.

 

  1. MATUMIZI YALIOZUILIWA

Kwa kuongezea makatazo mengine kama ilivyowekwa kwenye vigezo na masharti, umezuiliwa kutumia tovuti au maudhui yake: (a) kwa lengo lolote kinyume na sharia; (b) kuhawishi wengine kufanya vitendo vilivyokinyume na sharia; (c) Kukiuka maagizo ya kimataifa, shirikisho, kanuni za jimbo au mkoa, sharia au maagizo ya ndani ya nchi; (d) kukiuka kwa au kukataa haki ya maliza wengine; (e) Kusumbua, unyanyasaji, kutusi, kuumiza, kuchafua, kashfu, kupuuza, kutishia, au unyanyasaji kutokana na jinsi,  dini, ukabila, rangi, umri, taifa, au ulemavu; (f) kutuma taarifa zisizo sahihi au zaudanganyifu; (g) kupakia virusi au kodi zingine zozote zitakazokua na uharibifu waaina yeyote au kuzuia au kutumika kuzuia kwa namna yeyote itakayo athiri ufanyajikazi wa tovuti yeyote inayohisishwa pamoja na utoaji wa huduma au kwa mtando; (h) kukusanya au kufuatilia taarifa binafsi za wengine; (i) kutapeli, hadaa, njama, kusingizia, kutambaa, kufuta; (j) kwa nia yeyote chafu au isiyona maadili; au (k) kuingilia kwa au kwa ghilibu sifa za usalama wa huduma za tovuti nyingine inayohusiana au mtandao. Tuna haki ya kusitisha matumizi ya huduma au tovuti yeyote inayohusiana kwa kuvunja sharia yeyote iliyowekwa.

 

  1. KANUSHO LA IDHINI; MPAKA WA DHIMA

13.1 Kampuni Moreplex Inc haitoi idhini, kuwakilisha au uwakika kwamba matumizi yako ya huduma kua hautaingiliwa, kwa muda, salama au kukosa makos kabisa.

13.2 Kampuni ya Moreplex Inc haioi uwakika kwamba matokeo yatakayopatikana kutokana na matumizi ya huduma kua ya uwakika na yakutegemewa.

13.3 Unakubali kwamba mara kwa mara tunaweza kuondoa huduma kwa muda usiofahamika au kusitisha huduma muda wowote, bila kutuma au kukupa taarifa ya aina yeyote.

13.4 Kwa dhati unakubaliana kua matumizi yako ya, au kushidwa kutumia huduma ni kwa sababu zako pekee. Huduma na bidhaa zinazowasilishwa kwako kupitia huduma ni (isipokuwa kwa dhati kama ilivyosemwa nasi) kwakutumia ‘kama ilvyo’ na ‘kwa uwepo’ kwa matumizi yako, bila uwakilishi, usalama au masharti ya namna yeyote ikiwa ni kwa dhati au dokezo, ikijumuisha idhini zote au masharti ya kiufundi, ubora wa ufundi, uzima kwa dhamira Fulani, kudumu,jina, na pia bila ukiukwaji.

13.5 Si kwa namna yeyote Moreplex itakua na hatia kwa sababu ya majeraha, kupotea, madai, au madai ya moja kwa moja yasio, yaliotarajiwa, maalum, tarajiwa, au uharibifu wa aina yeyote, ikijumuisha, au bila kikomo cha faida zilizokosekana, mapato yaliopotea, akaba iliyopotea, data zilizpotea, gharama za kubadili, wala uharibifu wowote wa namna hiyo, ikiwa ni kwa upande wa mkataba, madai (ikijumuisha uzembe), hasara za mojakwamoja au namna yeyote, itakayojitokeza kwa namna yeyote wakati wa wewe kutumia huduma zetu au bidhaa ikijumuisha, bila kiwekewa kikomo, kwa makossa ya maudhui yeyote, upotevu au kuharibika kwa namna yeyote itakayotokea kama matokeo ya kutumia huduma zetu au maudhui yeyote (au bidhaa) zitakazochapishwa, kurushwa, au kwa namna nyingine kuwekwa kupitia huduma, hata kwakushauriwa kwa uwepo wake. Kwasababu baadhi ya maeneo au mamlaka haziruhu kuondolewa au kuwekewa kikomo cha hasara kwa kutaka au uharibifu usiotegemewa, katika maeneo hayo au mamlaka, uwajibikaji wetu kisheria lazima uwe na kikomo kwa kiasi cha juu kilichoruhusiwa na sharia.

  1. FIDIA

Unakubali kulipa fidia, kulinda na kushika bila madhara Kampuni ya Moreplex Inc na kampuni mama zingine, kampuni ndogo, washirika, wakurugenzi, mawakala, wakandarasi,watoa leseni, watoa huduma, wakandarasi wadogo, wasambazaji, wanaojifunza kwa vitendo  na wafanyakazi, bila madhara kutoka kwenye mahitaji au madai, ikijumuisha gharama za mawakili, zinazotolewa na watu wengine kutokana na wewe kuvunja vigezo masharti yeyote hapa, au nyaraka wanazounganisha kwa kumbukumbu, au uvunjaji wako wa sharia yeyote, au haki za mhusika wa tatu.

 

  1. RUZUKU YA LESENI NDOGO.

15.1 Kampuni ya Moreplex Inc inaweza kutumia vifaa kwa namba kwa namna tofauti, ikijumuisha kuweka wazi hilo, kubadilisha upya, kulijumisha hilo katika matangazo na kazi zingine, kwa kutengeneza kazi kutoka hapo, kutangaza, kusambaza, na kuruhusu wengine kufanya hivo pia kwa kuunganisha na tovuti zao na majukwaa ya vyombo vyao vya habari (vyombo vingine vya habari). Kwa hilo, unaipa Moreplex haki na washirika wake, wanahisa, na leseni dunia nzima, wahusika, wandani na wale wanje, mirabaha, kukabidhi, haki ya kutumia ikijumuisha bila kikomo cha kunakilisha, kutumia kazi hizo bila kikomo, kutumia, kusambaza, kuongezea, kutafsiri, kuondoa, kuchambua, kuuza, na kuandaa kazi za ubunifu za mtumiaji yeyote kwa vitu kwa matumizi yeyote.

 

15.2 tafadhali tambua kwamba umetoa haki isiyoweza kubadilishwa kwa watumiaji wa huduma au vitu vingine kua na haki ya kutumia ikiunganishwa utumizi wao wa huduma kwa vyombo vingine vya Habari. Hatimae, unatoa haki ya kutobadilisha na kusababishwa kubadilishwa, dhidi ya moreplex inc na watumiaji wake kwa madai ya haki za kimaadili au sifa kwa heshima kwa watumiaji wa rasilimali zako. Unawakilisha na udhamini kwamba  unamiliki maudhui hayo au vinginevyo una haki za kutosha kwa maudhui hayo kutoa ruhusa kwa Moreplex leseni ya kuendelea na hili bila kukiuka au kuvunja haki za washirika wengine wa tatu. Unatambua kwamba hatuna wajibu wa kukulipa wewe au yeyote kwa matumizi au kutoa taarifa kwa mtumiaji yeyote. Unathibitisha kwamba: (a) rasilimali zako hazita hitaji kupewa taarifa, ya matumizi si kwa mtu yeyote yule; (b) kupakia maudhui ndani au kwa huduma haitakiuka haki ya faragha, haki ya matangazo, mirabaha au haki zingine za mtu mwingine yeyote; na (c) uchapishaji wako ni kwa mujibu na vigezo na kwamba hatutakua na uwajibikaji kwa matumizi yeyote au ufafanuzi wa rasilimali hizo za mtumiaji. Tuna haki (ila si wajibu) katika upekee kukataa, hamisha, hariri, au kuondoa rasilimali za mtumiaji zilizoshirikishwa katika huduma ua tovuti. Unafahamu kua hatutathibitisha, kupitisha, kutambua, au kuamuru rasilimali za mtumiaji, na unakubali kwamba ni lazima utathimini na kubeba hatari zote zinazohusishwa na matumizi yetu ya rasilimali za mtumiaji au kutegemea katika usahihi, ukamilifu, au umuhimu wa rasilimali za mtumiaji.

 

  1. MIRABAHA

16.1 Kampuni ya Moreplex Inc inaheshimu umiliki wa wengine, na tunaomba watumiaji wetu kufanya hiyo. Sheria ya mirabaha inatoa rasilimali kwa mirabaha ya wamiliki wanaoamini kwamba rasilimali kutokea kwenye mtandao kukiuka haki zao chini ya sharia ya mirabaha. Moreplex Inc, kwa kufuata sharia zilizosemwa, kuhifadhi haki, ila si kwa wajibu, kusitisha leseni yako kutumia huduma kama ina tambua upekee na umakini unazohusika katika shughuli ya kuvunja, ikijumuisha vitendo kama inavyodaiwa kwa mara ya kwanza au kurudia usisitishaji, bila kujali kama rasilimali au shughuli ni hatimaye kufahamika kua inasitisha. Kwa hivyo, kufuatana na sharia ilivyo, kama unaamini kwamba watumiaji wa tatu wa rasilimali kusitisha hakimiliki, tafadhali tuma taarifa kwa wakala inaefahamika chini ya ombi kupitia usitishaji. Barua pepe: copyrightsagent@moreplexgroup.com.

16.2 Maombi yanatakiwa kujumuisha taarifa zifuatazo (a) Saini halisi au ya kieletroniki ya yule anasimama kwa niaba ya mmiliki wa haki ya kipekee iliyositisha. (b) Kutambua kazi iliyona mirabaha inayodaiwa kusitishwa. (au kama haki zenye hakimiliki zinazopelekea katika huduma ambazo zinashikiliwa na taarifa moja, ikiwakilisha orodha ya kazi hizo); (c) Utambuzi wa rasilimali inadaiwa kusitishwa au swala la usitishaji, na taarifa kiujumla kwa kutosha na kuruhusu Moreplex kupeleka rasilimali hizo katika huduma; (d) Jina, anuani, nambari ya simu na barua pepe (kama itakuwepo) za upande wa mashitaka; (e) taarifa ambayo upande wa mashitaka ina Imani kubwa kuamini kwamba matumizi ya nyenzo kwa namna ilivyoelezewa kama idhini ya mwenye haki ya umiliki ya mmiliki, wakala wake au sharia; na (f) Andiko la taarifa kwamba taarifa ni sahihi, chini ya penalty ya kuapa, na upande wa mlalamikaji inapewa haki kua kwaniaba ya mmiliki wa haki ya kipekee iliyositishwa.

16.3 Kama una amini kwamba taarifa ya hakimiliki kusitishwa kwako kimakosa dhidi yako, sheria inatoa ruhusa ya kutuma ilani ya kupinga kuja Moreplex Inc.

16.4 Moreplex Inc inapendekeza unawasiliane na mshauri wako wa kisheria kabla ya kufungua ilani hii au ilani ya kupinga. Pia, tambua kwamba kutakua na adhabu kwa kufungua shauri la uwongo.

  1. KUKOMESHA MIKATABA

Wajibu na mahitaji ya pande zote zinazohusika katika tarehe yakukomesha mkataba watahusika kwa shughuli hii ya kukatisha mkataba kwa nia nyingine. Vigezo na masharti haya vinafanya kazi mpaka pale utakapokatishwa na sisi wote.

0:00/ 0:00
Slow Fast
  • 0.5
  • 0.6
  • 0.7
  • 0.8
  • 0.9
  • 1
  • 1.1
  • 1.2
  • 1.3
  • 1.4
  • 1.5